Taasisi ya mafunzo ya Jinsia na Maendeleo- GTI
Je, Unaielezeaje siku hii katika harakati za ukombozi wa mwanamke?
MWAJUMA MKOMBOZI
Huyu ni moja ya walionufaika na harakati za ukombozi wa wanawake . Ni mwanafunzi wa darasa la sita chini ya udhamini wa SADC kwa kushirikiana na TGNP.
Na hivi ndivyo alivyosema kuhusu siku ya wanawake duniani.
“Nawasihi wanafunzi wenzangu wasichana wasidanganyike”
ANNA KIKWA
Ni siku nzuri ya kukumbusha serikali wajibu wake katika harakati za ukombozi wa wanawake na kuleta usawa katika Nyanja zote za Maendeleo.
Asilimia 30% ya wanawake na 70% kwa wanaume katika bunge la Tanzania bado hainifurahishi, kwani azimio lilikuwa 50:50. “wanawake ni raia wa ulimwengu, wana haki zao na hizo haki sio mapambo hivyo basi zifanyiwe kazi.”
ASSENY MURO
Wamama twaweza. “Mtu yeyote asidharau harakati za ukombozi wa wanawake”.
MARY NSEMWA
Siku ya leo inanifurahisha moyoni sababu mimi ni mwanamke, ambaye nimeujaza ulimwengu katika kuleta uhai na kuchangia maendeleo ya nchi.
“Je, mgawanyo wa rasilimali una kwenda sawa na mchango wa wanawake katika jamii?”
L
Lilian Liundi
Baada ya miaka 100 ya harakati za ukombozi wa wanawake , Wanawake tumepata mafanikio makubwa sana hivyo ni vizuri kusherekea huku tukitafakari changamoto tulizo nazo na jinsi ya kukumbana nazo."Wanawake ni nguzo ya mpingu isiyo liwa na mchwa”
MARJORIE
Ni siku ya raha kwani inamuweka mwanamke katika hali ya kuheshimika , ingawa bado kuna nachangahamoto nyingi ikiwemo kukosa ajira au malipo yenye heshima, vijijini wakulima na wafugaji hawapati msaada.
"Tusichoke kupambana kwani mabadiliko yapo yanaendelea katika kubomoa mfumo dume".
DOROTHY
Hakuna Taifa endelevu bila mwanamke, Mungu ana makusudi mema kumuumba mwanamke.
“Najivunia kuwa mwanamke".
NDAYI
Hii siku ni kwa ajili ya wanawake wote bila kuwa sahau walioko pembezoni.
Tuikumbushe serikali wajibu wake kuhusu mwanamke,Mwanamke aitambue siku hii kwa nafasi yake. ”mwanamke tumkomboe kwa kumpa fursa ya maamuzi na kusikilizwa.”
JOYCE
Ni siku mwafaka wa kutambua umuhimu wa manamke duniani.mfano Bibi Titi Mohamed kwakumuangalia tu inatosha kugundua kuwa mwanamke ni wa thamani katika ukombozi wa jamii,nchi pamoja na ulimwengu mzima. “Jamii iamini mwanamke anaweza.”
FELISTER
Siku yawanawake duniani isiwe tu siku ya wanawake wenyewe na wanaume pia waitambue na waoneshe ushirikiano katika kufanikisha harakati za kumkomboa mwanamke.
KENNY
Nafurahia hii desturi ya kusheherekea siku ya wanawake duniani,sisi kama TGNP tunaungana na wanawake wote duniani kutafakari mafanikio na changamoto ambazo mwanamke amekumbana nazo katika hiki kipindi chote cha miaka mia moja ya kuadhimisha siku ya wanawake duniani na miaka 50 ya uhuru wa Tanzania.
DEOGRATIUS
Ni siku nzuri sababu wanawake wengi wamehudhuria katika kuibua changamoto ambazo zinawakumba kila leo.Hivyo basi wanawake wazidi kusimama imara katika kutetea haki zao.
ELUKA
Nimefurahi kusikia tukio hili la leo katika vyombo vya habari ikiwemo radio na magazeti, hii inaonesha kua jamii inatambua umuhimu wa Mwanamke. tuitafakari hii siku kwa undani zaidi.
DEMETRIA
“Siku ambayo inaadhimishwa ili kutambua mchango wa wanawake na thamani ya kazi zao katika jamii.”
EDWIN
Siku yawanawake duniani isiwe tu siku ya wanawake wenyewe na wanaume pia waitambue na waoneshe ushirikiano katika kufanikisha harakati za kumkomboa mwanamke.
LILIAN K
Bado mapambano yapo “Mimi ni sehemu ya mapambano ya ukombozi wa wanawake”
LYDIA
Naifurahia siku hii ya leo kwa sababu mimi ni mwanamke kila mtu ananiangalia akisubiri maendeleo kutoka kwangu.
“Mwanamke si tegemezi tena kwani ameamka katika ngazi ya familia hadi taifa.”
ANNA M
Siku muhimu kwetu kwani inaonesha tuliko toka, tulipo na tunapoelekea.kwakuangalia juhudi zetu pamoja na changamoto ambazo tumezipata katika hii miaka 100 ya kusheherekea siku ya wanawake duniani.
SADA
Wanawake wajifunze kutokua tegemezi,wajitume na kujikomboa.”Silaha ya kupambana na mfumo dume ni kutokua tegemezi”
TUMAINI
“ Tujifunze, na tueneze habari na maarifa ili kuelimisha na kusawazisha kwa kutumia teknolojia ya habari na mawasiliano”
SEKELA
Ni siku ya kufurahia kwani kila kona unasikia neno mwanamke hiyo yote ni kwas ababu yeye ni wa muhimu katika swala zima la uzalishaji, utunzaji pamaoja na maendeleo kwa ujumla katika jamii.
“Mwanamke chakarika usilale.”
MAY
Ni siku muhimu kwa kila mwanamke kwani inamuinua pale alipokua na kumuweka mahala pakutambulika na kuonesha umuhimu wake na mchango wake mkubwa katika jamii .Wanawake tujiamini tuna uwezo mkubwa sana katika jamii,
”Wanawake ni chachu ya Maendeleo”.
CLARA
“Hakuna anayetakiwa kumkandamiza mwanamke”
REKHMA
“Wanawake tumekomboka kwa kiasi fulani hivyo tukaze mwendo.”
* Toa maoni yako ili kuboresha maadhimisho ya siku hii. *
Somebody essentially lend a hand to make critically articles
ReplyDeleteI'd state. That is the very first time I frequented your web page and to this point? I amazed with the research you made to create this actual put up incredible. Excellent activity!
Feel free to visit my webpage ... kohls 20 Off coupons
I just couldn't leave your site prior to suggesting that I extremely enjoyed the usual information an individual supply on your visitors? Is gonna be again often to investigate cross-check new posts
ReplyDeleteHere is my web blog kohls-printable-coupons.net
Hi, I do think this is an excellent web site. I stumbledupon it ;) I
ReplyDeletemay return once again since I saved as a favorite it.
Money and freedom is the greatest way to change, may you be rich
and continue to help others.
My blog post : kohls-printable-coupons.net
Howdy would you mind sharing which blog platform you're using? I'm looking
ReplyDeleteto start my own blog in the near future but I'm having a difficult time selecting between BlogEngine/Wordpress/B2evolution and Drupal. The reason I ask is because your design and style seems different then most blogs and I'm looking for something completely unique.
P.S My apologies for getting off-topic but I had to ask!
Feel free to surf my weblog :: kohls-printable-coupons.net
An impressive share! I've just forwarded this onto a co-worker who had been conducting a little homework on this. And he in fact ordered me dinner due to the fact that I discovered it for him... lol. So allow me to reword this.... Thank YOU for the meal!! But yeah, thanx for spending time to talk about this topic here on your web page.
ReplyDeleteAlso visit my web site ... kohls-printable-coupons.net
I always used to study article in news papers but now as
ReplyDeleteI am a user of web so from now I am using net for articles, thanks to web.
Here is my weblog in store Kohls coupons printable
I've learn a few just right stuff here. Definitely worth bookmarking for revisiting. I wonder how so much effort you put to make such a wonderful informative site.
ReplyDeleteMy web-site ... kohls-printable-coupons.net
Its such as you learn my mind! You seem to grasp a lot approximately this, like you wrote the book in
ReplyDeleteit or something. I feel that you can do with a few percent to force the
message house a bit, but other than that, this is great
blog. A fantastic read. I'll certainly be back.
Feel free to visit my blog ... kohls-printable-coupons.net
Write more, thats all I have to say. Literally, it seems as though you relied on the video to make
ReplyDeleteyour point. You definitely know what youre talking about, why throw away your intelligence on just posting videos to your weblog when
you could be giving us something enlightening to read?
Here is my web blog ... kohls-printable-coupons.net
Hi there, its pleasant article concerning media print, we all understand media is a
ReplyDeleteimpressive source of facts.
Here is my site : Kohls Instore Coupons
Hi! I just wanted to ask if you ever have any trouble with hackers?
ReplyDeleteMy last blog (wordpress) was hacked and I ended up losing many months of hard work due to no backup.
Do you have any solutions to prevent hackers?
My web-site ... kohls-Printable-Coupons.Net
I loved as much as you'll receive carried out right here. The sketch is tasteful, your authored material stylish. nonetheless, you command get got an impatience over that you wish be delivering the following. unwell unquestionably come more formerly again as exactly the same nearly very often inside case you shield this hike.
ReplyDeleteAlso visit my web page ... kohls discount coupons Printable
Thanks for sharing your thoughts on printable coupons
ReplyDeleteavailable. Regards
My blog - kohls promo coupons
Heya i'm for the first time here. I found this board and I find It really useful & it helped me out a lot. I hope to give something back and aid others like you helped me.
ReplyDeleteHere is my page ; Trick Photography and Special Effects
fantastic issues altogether, you just gained
ReplyDeletea new reader. What would you recommend about your post that you just made some days ago?
Any certain?
Look into my page : lean muscle x
I believe thаt is one оf the such а lot signіficаnt іnformation for me.
ReplyDeleteΑnd i am satisfiеd studуing your aгticle.
However shoulԁ rеmark on some normаl thingѕ,
The web sіte taste is wonderful, the aгticlеs is in pοint of fact excellent :
D. Good actiνity, cheers
My website ; Optimal Stack
Oh my goodness! Awesome article dude! Many thanks, However I am
ReplyDeleteencountering troubles with your RSS. I don't understand why I am unable to join it. Is there anybody having similar RSS issues? Anybody who knows the solution will you kindly respond? Thanks!!
Also visit my blog post social bookmarks service
magnificent put up, very informative. I wonder why the other experts of this sector don't realize this. You should continue your writing. I am confident, you have a huge readers' base already!
ReplyDeleteMy blog post ... Muscle Maximizer Reviews
I know thiѕ web page offers quality basеd
ReplyDeleteposts and extrа information, is therе
any other web ѕitе ωhich presents these κindѕ
of data in quality?
Here iѕ my ωeb-sitе :: ultrasound technologist schools
I have been exploring for a little bit for any high quality
ReplyDeletearticles or blog posts in this sort of space . Exploring
in Yahoo I ultimately stumbled upon this website. Reading this information So
i am satisfied to express that I have an incredibly just right uncanny feeling I came
upon exactly what I needed. I so much certainly will make certain to do not put out of your mind this
site and provides it a glance regularly.
Here is my website; http://nexopia.com/users/ZIQJamal/blog/1-how-to-develop-into-an-xray-technician